| Msanii
wa muziki wa asili Tanzania ambaye pia ni msanii wa maigizo na filamu,
Mrisho Mpoto akizungumza jambo mbele ya waaandishi wa habari na wamiliki
wa blogs mbalimbali katika uzinduzi wa matumizi mazuri ya mitandao ya
kijamii. Mrisho alisimama kuzungumza dakika chache baada ya wimbo
alioimba na Banana Zoro kuzinduliwa, unaojulikana kama 'Futa, Delete
Kabisa'. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania (TCRA),John Nkomo katika uzinduzi huo. |
EmoticonEmoticon