WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA DIASPORA UINGEREZA

October 11, 2026

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 11, 2026, amezungumza na Watanzania wanaoishi Uingereza na nchi jirani (Diaspora).

Katika mazungumzo hayo, Dkt. Mwigulu amewasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na kuelezea miradi ya maendeleo na hali ya uchumi nchini Tanzania.





Share this

Related Posts

Previous
Next Post »