BALOZI MTEULE TANZANIA NCHINI KOREA AANZA RASMI MAJUKUMU

May 11, 2026
Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Korea Mheshimiwa Noel Kaganda amepokelewa rasmi katika Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Seoul kuanza rasmi majukumu yake ya uwakilishi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Korea.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »