WAZIRI KATAMBI MBELE YA KAMATI YA MAMBO YA NJE,ULINZI NA USALAMA

March 11, 2026


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Miradi iliyopo katika Vyombo vya Usalama vilivyopo chini ya wizara yake kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje,Ulinzi na Usalama.

Amewasilisha Taarifa hizo leo jijini Dodoma ikiwa ni utaratibu wa kamati hiyo kupokea Taarifa za Utekelezaji wa Miradi iliyotolewa fedha za Serikali.



Share this

Related Posts

Previous
Next Post »