RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA 25 WA WAKUU WA NCHI WA EAC ARUSHA

March 07, 2026



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Marais mbalimbali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) aliposhiriki Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Jumuiya hiyo uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Leo Machi 07,2026.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »