MAKAMU WA RAIS AWEKA SHADA LA MAUA KABURI LA NDUNO SONGEA MBANO

February 27, 2026







Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiweka shada la maua katika kaburi la Nduna Songea Mbano, ambaye alikuwa kiongozi mwandamizi wa Mashujaa wa Vita ya Majimaji ikiwa ni kumbukizi ya Miaka 120 ya Mashujaa wa Vita ya Majimaji, iliyofanyika katika viwanja vya Makumbusho ya Vita ya Majimaji Songea, mkoani Ruvuma, leo tarehe 27 Februari 2026

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »