TANGA RAHA BLOGhabariRAIS DKT.SAMIA SULUHU AONGOZA ZOEZI LA KUPANDA MITI WAKATI WA KUMBUKUMBU YA SIKU YAKE YA KUZALIWA ENEO LA BUNGI KILIMO ,MKOANI WA KUSINI UNGUJA-ZANZIBAR
RAIS DKT.SAMIA SULUHU AONGOZA ZOEZI LA KUPANDA MITI WAKATI WA KUMBUKUMBU YA SIKU YAKE YA KUZALIWA ENEO LA BUNGI KILIMO ,MKOANI WA KUSINI UNGUJA-ZANZIBAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipanda mti wa Muembe (Mangifera indica) katika eneo la Bungi Kilimo, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 27 Januari, 2026, wakati wa kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa. Rais Mhe. Dkt. Samia alizaliwa tarehe 27 Januari, 1960 katika Kijiji cha Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.

EmoticonEmoticon