RAIS DKT SAMIA AFANYA UTEUZI WA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

November 04, 2025



RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Hamza Said Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi leo Novemba 3,2025, imesema Mheshimiwa Johari ataapishwa Jumatano ya Novemba 5,2025 saa nne asubuhi katika Ikulu ya Chamwino, Dodoma.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »