Sehemu ya Wananchi wa Kata ya Buhongwa
waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Mwanza tarehe 07 Oktoba, 2025.
Shamra shamra za mapokezi ya Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili Buhongwa mkoani Mwanza tarehe 07 Oktoba, 2025.

EmoticonEmoticon