Mgombea Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Balozi. Dkt. Emmanuel Nchimbi akiteta jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Shule ya Msingi Masumbwe, Wilayani Mbogwe, Mkoa wa Geita leo Septemba 5, 2025.
EmoticonEmoticon