MAJALIWA KUMWAKILISHA RAIS SAMIA BARAZA LA MAULID KITAIFA

September 05, 2025
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 05, 2025 amewasili mkoani Tanga ambapo atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika baraza la Maulid Kitaifa linalofanyika Wilayani Korogwe mkoani humo.






Share this

Related Posts

Previous
Next Post »