DKT.MIGIRO AKABIDHIWA RASMI OFISI NA DKT.NCHIMBI

August 26, 2025


 Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt,Emmanuel John Nchimbi ambaye kwa sasa ni Mgombea Mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) akimkabidhi nyaraka Katibu Mkuu mpya wa chama hicho Balozi Dkt.Asha Rose Migiro wakati wa makabidhiano rasmi ya Ofisi, yaliyofanyika leo Jumanne Agosti 26, 2025, Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.



Share this

Related Posts

Latest
Previous
Next Post »