BODI YA REA YAZURU KABIRI LA HAYATI MAGUFULI CHATO

May 06, 2025

 

Bodi ya Nishati Vijijini (REB) imeendelea na ziara yake ya ukaguzi wa miradi ya umeme vijijini  katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.



Ikiwa wilayani Chato mkoani Geita, Bodi hiyo   leo Mei 6, 2025 imetembelea kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Hayati Dkt. John Pombe  Magufuli.

Share this

Related Posts

EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng