Ujumbe kutoka Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) na wataalam kutoka Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) inayoratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu wametembelea Taasisi ya Udhibiti Ubora wa Mbegu (TOSCI) Mkoani Morogoro.
Mfuko huo wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) kupitia Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) unajenga maabara ya kisasa ya uchambuzi wa Ubora wa Mbegu kwa ajili ya Taasisi hiyo kwenye makao makuu yake yaliyopo katika chuo kikuu cha Kilimo cha Sokoine Morogoro (SUA).
Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)
Kufika Kwa Ujumbe huo Mkoani Morogoro, ni sehemu ya ziara ya kikazi ya kutembelea maeneo yanayotekeleza Programu hiyo,Tarehe 8 Novemba 2024.
Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)
EmoticonEmoticon