DKT KIKWETE ATETA NA MWENYEKITI WA BODI YA TAASISI YA KIMATAIFA INAYOSHUGHULIKIA MASUALA YA ELIMU DUNIANI (GPE).

November 12, 2024

Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia masuala ya Elimu Duniani (GPE), Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Viongozi na Watumishi wa Taasisi hiyo katika Makao Makuu ya GPE yaliyopo Ofisi za Benki ya Dunia, Washington, Marekani. Pembeni yake ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya GPE Bi. Christine Hogan na Afisa Mtendaji Mkuu Bi. Laura Frigenti.


Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia masuala ya Elimu Duniani (GPE), Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Watumishi wa Taasisi hiyo katika Makao Makuu ya GPE yaliyopo katika Ofisi za Benki ya Dunia, jijini Washington DC, Marekani.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »