PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI DODOMA

October 30, 2024



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete (wa pili kulia) na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi, bungeni jijini Dodoma, Oktoba 30, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela, bungeni jijini Dodoma, Oktoba 30, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »