MWENYEKITI WA BODI YA WADHAMINI TANAPA AKUTANA NA BALOZI MAFURU

October 12, 2024

 




Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini - TANAPA Jenerali Mst. George Waitara (kulia) akiwa ameshikana mikono na Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Ephraim Balozi Mafuru kama ishara ya salamu walipoonana katika Maonesho ya Kimataifa ya SITE yanayofanyika katika Viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam leo Oktoba 12, 2024.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »