PICHA YA PAMOJA YA RAIS DKT SAMIA KATIKA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA HOSPITAL DODOMA

February 01, 2024

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wauguzi wa hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma mara baada ya kutembelea hospitali hiyo leo, Februari 1, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Watoto wanaopatiwa matibabu ya ugonjwa wa Selimundu pamoja na wachangiaji wao wa uloto alipotembelea Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma, Februari 1, 2024.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »