KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU DKT JIM YONAZI AONGOZA KIKAO MAALUMU UENDELEZAJI WA MAKAO MAKUU DODOMA TANGA RAHA BLOG February 09, 2024 habari TANGA RAHA BLOG Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ameongoza Kikao maalum kilichohusu uendelezaji wa Makao Makuu Dodoma, Kikao kimefanyika katika Ukumbi wa Ofisi hiyo Dodoma, Tarehe 9 Februari, 2024. Share this Author : TANGA RAHA BLOG Related Posts