PICHA YA KUMBUKUMBU

November 01, 2023

 





Nyumbani ni nyumbani. Furaha na Tabasamu iliyoje baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kusalimiana na Waziri wa Utamaduni kutoka Berlin Ujerumani Mhe. Joe Chialo ambaye ana asili ya Tanzania wakati alipokuwa akimsindikiza mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani Mhe. Dkt. Frank-Walter Steinmeier Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Oktoba 2023. Rais huyo wa Ujerumani ameambatana na Waziri huyo katika Ziara yake ya Kikazi nchini Tanzania.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »