RAIS DKT. SAMIA KATIKA MKUTANO WA DEMOKRASIA JIJINI DAR ES SALAAM

September 11, 2023

 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine kwenye Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa nchini katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Septemba, 2023.
  Mabalozi kutoka nchi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa nchini katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Septemba, 2023.

Wadau wa Demokrasia, Wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa, Viongozi wa Vyama vya Siasa, pamoja na Wageni mbalimbali wakiwa kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) kwa ajili ya Mkutano Maalum wa Baraza hilo na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa nchini tarehe 11 Septemba, 2023.


Share this

Related Posts

Previous
Next Post »