Muonekano wa jengo jipya la Benki ya CRDB tawi la Mlandizi mkoani Pwani.
Baadhi ya wateja wa benki ya CRDB tawi la Mlandizi wakipata huduma za kifedha katika tawi hilo.
Meneja
wa Tawi jipya la Benki ya CRDB la Mlandizi mkoani Pwani, Twahibu
Likungwala (kushoto), akitoa maelezo kwa mteja wa benki hiyo aliyefika
tawini hapo jana namna anavyoweza kunufaika na akaunti maalum ya
Wanawake (Malkia Akaunti).
Ufafanuzi kuhusu huduma za Kifedha katika Tawi la Mlandizi.
Mteja
wa Benki ya CRDB akipata ufafanuzi wa huduma mbalimbali zinazotolewa na
benki hiyo kutoka kwa Meneja wa Tawi jipya la Benki ya CRDB la Mlandizi
mkoani Pwani, Twahibu Likungwalakwa (kulia).
Ofisa Masoko
wa Benki ya CRDB, Cassian Nombo (katikati), akimuhudumia mmoja wa
wateja waliofika katika tawi la Benki ya CRDB la Mlandizi mkoani Pwani
kupata huduma za kifedha.
Ofisa
Masoko wa Benki ya CRDB, Getrud Mwani akimfungulia akaunti mpya mteja
wa Benki ya CRDB katika tawi linalotembea la benki hiyo (Mobile Branch),
kwa wakazi wa Mlandizi mkoani Pwani.
Ofisa
wa Benki ya CRDB, Husna Seif (kulia), akimwandikisha mkazi wa Mlandizi
alipofika katika tawi linalotembea la benki hiyo Mlandizi mkoani Pwani.
Wateja wa Benki ya CRDB wakiwa wamejitokeza katika gari maalum kufungua akaunti ya benki hiyo.
Ofisa
Masoko wa Benki ya CRDB, Vicent Lulenga (kushoto), akimfungulia akaunti
mteja mpya wa benki hiyo katika tawi linalotembea (Mobile Branch),
Kibaha mkoani Pwani.
Ofisa Masoko wa Benki ya CRDB, Rehema Issa (kushoto), akimfungulia akaunti mpya mteja wa benki hiyo Kibaha mkoani Pwani.
Ofisa
Masoko wa Benki ya CRDB, Vicent Lulenga (kushoto), akimuunganisha na
huduma ya SimBanking mteja mpya aliyefungua akaunti ya benki hiyo mjini
Kibaha.
Ofisa wa Benki ya CRDB, Omary Kilima akimpa maelekezo mteja wa benki hiyo kabla ya kufungua akaunti.
Ofisa Masoko wa Benki ya CRDB, Rehema Issa (kushoto), akimfungulia akaunti mpya mteja wa benki hiyo Kibaha mkoani Pwani.
Wateja wakipata huduma katika Benki ya CRDB tawi la Kibamba.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Kibamba, Anitha Mafumiko.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Kibamba, Anitha Mafumiko.
Tawi la Benki ya CRDB-Kibamba.