Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli
akishiriki Ibada ya misa Takatifu katika kanisa la kigango cha Mlimani
(Parokia teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita.Februari
25,2018.
Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli
akipiga makofi baada ya mahubiri kutoka kwa Padre Alex Bulandi wakati wa
Ibada ya misa Takatifu katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia
teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita.Februari 25,2018.
Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli
akiwasalimia waumini wa kanisa hilo mara baada ya kukaribishwa na Padre
Alex Bulandi wakati wa Ibada ya misa Takatifu katika kanisa la kigango
cha Mlimani (Parokia teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato
Geita.Februari 25,2018.
Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli
akimshukuru Padre Alex Bulandi baada ya kusalimia wakati wa Ibada ya
misa Takatifu iliyofanyika katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia
teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita.Februari 25,2018.
Waziri wa Nishati ambaye pia ni
Mbunge wa jimbo la Chato Mhe.Medradi Kalemani akiwasalimia waumini wa
kanisa wakati wa Ibada ya misa Takatifu iliyofanyika katika kanisa la
kigango cha Mlimani (Parokia teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato
Geita.Februari 25,2018.
Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli
akiagana na Padre Alex Bulandi baada ya Ibada ya misa Takatifu
iliyofanyika katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia teule ya
mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita.Februari 25,2018.
Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli
akiagana na Waziri wa Nishati amabaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato
Mhe.Medrad Kalemani mara baada ya Ibada ya misa Takatifu iliyofanyika
katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia teule ya mlimani)lililopo
Wilayani Chato Geita.Februari 25,2018.
Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli
akiagana na Waziri wa Nishati amabaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato
Mhe.Medrad Kalemani na viongozi wa kanisa hilo mara baada ya Ibada ya
misa Takatifu iliyofanyika katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia
teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita.Februari 25,2018.
PICHA NA IKULU.