Afisa kutoka Mamlaka ya Vitega
Uchumi Zanzibar (ZIPA) zone ya Pemba Nd. Ali Shaaban Suleiman akitoa
ufafanuzi wa maeneo yanayotegemewa kuekezwa.
Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Bi.
Salama Mbarouk Khatib akimkaguza Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Nd.
Omar Khamis Othman katika eneo linalotarajiwa kuwekezwa Hoteli kubwa ya
kitalii eneo la Kiuyu Mbuyuni Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini
Pemba.
Eneo la fukwe Kiuyu Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba linalotarajiwa kuekezwa.
Picha na Mwamize Muhammed Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Pemba.