Mchezaji
wa Lugalo Golf Club Angel Eaton akishangilia mara baada ya kucheza
mpira mzuri katika shimo namba Tisa katika mashindano ya wazi ya
wanawake ya IBB ladies Championship yaliyomalizika Jumapili nchini
Nigeria
Mchezaji
wa Lugalo Golf Club Angel Eaton akishangilia akiwa na wechaji wenzie
mara baada ya kuibuka mshindi katika mashindano ya wazi ya wanawake ya
IBB ladies Championship yaliyomalizika Jumapili nchini Nigeria
Mchezaji
wa Lugalo Golf Club Angel Eaton akinyenyua kikombe mara baada ya
kushinda katika mashindano ya wazi ya wanawake ya IBB ladies
Championship yaliyomalizika Jumapili nchini Nigeria
Mchezaji
wa Lugalo Golf Club Angel Eaton akishangilia kwa kujifunika bendera ya
taifa mara baada ya kucheza mpira mzuri katika shimo namba Tisa katika
mashindano ya wazi ya wanawake ya IBB ladies Championship yaliyomalizika
Jumapili nchini Nigeria.Picha na Luteni Selemani Semunyu
Angel
Eaton Mchezaji Watimu Ya Golf Ya Wanawake Ya Klabu Ya Jeshi La Ulinzi
La Wananchi Wa Tanzania Ya Lugalo Ametekeleza Agizo La Mkuu Wa Majeshi
Ya Ulinzi Jenerali Mabeyo La Kulinda Heshima Ya Jeshi Katika Mashindano
Nchini Nigeria
Mchezaji
Huyo Nyota Wa Klabu Ya Lugalo Amefanikisha Hilo Baada Ya Kuibuka Na
Ushindi Wa Jumla Baada Ya Kushinda Siku Tatu Mfululizo Kwa Mikwaju 76
Katika Siku Ya Kwanza Ya Pili Na Tatu Ya Mashindano Ya Wazi Ya Wanawake
Ya Ibb Ladies Open Championship Yaliyofanyika Abuja Nchini Nigeria.
Tanzania
Iliyowakilishwa Na Wachezaji Saba Kutoka Klabu Ya Lugalo Imefani9kiwa
Kushika Nafasi Ya Nne Iliyonyakuliwa Na Mchezaji Wake Hawa Wanyeche
Akiwa Nyuma Ya Wachezaji Kutoka Kenya Na Nigeria Huku Nafasi Ya Sita
Ikinyakuliwa Na Nahodha Ayne Magombe
Hivi
Karibuni Wakati Akiwaaga Wachezaji Hao Kwenda Nchini Nigeria Mkuu Wa
Majeshi Ya Ulinzi Jenerali Mabeyo Aliwataka Kuhakikisha Wanalinda
Heshima Ya Klabu Jeshi Na Nchi Kwa Ujumla Katika Mashindano Hayo
Mashindano
Hayo Ya Siku Tatu Yaliyoshirisha Wacheza Ji 187 Kutoka Nchi 10
Zilizoshiriki Michuano Hiyo Ambapo Nahodha Wa Timu Hiyo Ayne Magombe
Alisema Walikuwa Na Timu Nzuri Iliyokuwa Na Wachezaji Wazuri.
Timu
Ya Lugalo Iliwakilishwa Na Wachezji Ayne Magomba,Sophia Mathias, Hawa
Wanyeche,Christina William, Rehema Athumani Na Angel Eaton Ambaye Pia
Alishinda Longest Drive.