Kamishna Jenerali wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye akisalimiana na Balozi wa Cuba
hapa nchini, Profesa Lucas Domingo Hernades Makao Makuu ya Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji Jijini Dar es Salaam. Balozi huyo wa Cuba alifika
Makao Makuu ya Jeshi hilo kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Kamishna
Jenerali mapema leo asubuhi tarehe 01/02/2018.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye aliyeketi (mbele) akisoma taarifa
na changamoto zinazolikabili Jeshi hilo Balozi wa Cuba hapa nchini,
Profesa Lucas Domingo Hernades Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji Jijini Dar es Salaam. Balozi huyo wa Cuba alifika Makao Makuu ya
Jeshi hilo kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Kamishna Jenerali mapema
leo asubuhi tarehe 01/02/2018.
Balozi wa Cuba hapa nchini,
Profesa Lucas Domingo Hernades akizungumza jambo wakati mazungumzo yao
na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye
(kushoto), Viongozi Waandamizi wa Jeshi hilo hawapo pichani na Katibu wa
Balozi na Mkalima, Sultan Hamud Said (Kulia) Makao Makuu ya Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji Jijini Dar es Salaam. Balozi huyo wa Cuba alifika
Makao Makuu ya Jeshi hilo kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Kamishna
Jenerali mapema leo asubuhi tarehe 01/02/2018.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye akiwa katika picha na Balozi wa
Cuba hapa nchini, Profesa Lucas Domingo Hernades Makao Makuu ya Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji Jijini Dar es Salaam wengine ni Kamishna wa Utawala
na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Michael Shija wanne kutoka
(kulia), Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Billy
Mwakatage wa kwanza (kulia) na Kamishna wa Usalama Dhidi ya Moto,
Jesuald Ikonko wa tano kutoka (kulia). Balozi huyo wa Cuba alifika Makao
Makuu ya Jeshi hilo kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Kamishna
Jenerali mapema leo asubuhi tarehe 01/02/2018.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye akiagana na Balozi wa Cuba hapa
nchini, Profesa Lucas Domingo Hernades Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto
na Uokoaji Jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza mazungumzo yao
mapema leo asubuhi tarehe 01/02/2018.
Picha na Jeshi la Zimamoto Na Uokoaji)
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA – JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI