NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango Dk.Ashatu Kijaji
ambaye alikuwa mgeni rasmi akizungumza juzi katika mahafali ya Chuo cha Uhasibu Njiro Arusha ambapo pamoja na mambo mengine amewaonya wahitimu nchini kujiepusha na rushwa kwa kutaka utajiri wa haraka kuacha tabia hiyo kwani hawatabaki salama katika utawala huu. (Habari Picha na Pamela Mollel,Arusha)

Mwenyekiti wa Bodi ya chuo cha uhasibu Arusha Bi.Rukia Adam akisoma maelezo ya chuo cha Uhasibu Arusha katika mahafali chuoni hapo juzi
Mkuu wa kitivo cha uhandisi,mazingira na Computer Paul David Greening kutoka Uingereza akizungumza katika mahafali yao juzi katika Chuo cha Uhasibu NjiroArusha
Kushoto ni mgeni rasmi ambaye ni NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango Dk.Ashatu Kijaji akisoma maelezo mafupi ya chuo cha Uhasibu Njiro Arusha katika mahafli juzi chuoni hapo
Wahitimu wakifatilia mahafali hayo kwa ukaribu zaidi
Meza kuu wakiwa katika picha ya pamoja,wapili kushoto ni Kaimu Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Njiro,Dk.Faraji
Kasidi akiteta jambo Naibu Waziri wa Fedha na
Mipango Dk.Ashatu Kijaji katika mahafali chuoni hapo juzi
Kasidi akiteta jambo Naibu Waziri wa Fedha na
Mipango Dk.Ashatu Kijaji katika mahafali chuoni hapo juzi
Wanafunzi waliofanya vizuri zaidi katika masomo yao wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi
Baadhi ya watumishi wa chuo hicho wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi juzi katika mahafali chuni hapo
Na Pamela Mollel,ARUSHA
EmoticonEmoticon