RAIS DKT MAGUFULI AWASILI DODOMA LEO

December 07, 2017
dom1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Satano Mahenge alipowasili Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma leo Novemba 7, 2017 tayari kwa shuguli mbalimbali za kikazi.
PICHA NA IKULU.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »