Naibu
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye
(kushoto), akipokelewa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya
TEHAMA, Mhandisi Samson Mwela (katikati) na Mkurugenzi wa Mawasiliano,
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Clarence
Ichwekeleza, alipowasili ofisini hapo katika ziara yake ya kutembelea
tume hiyo jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Tumeya Taifa ya TEHAMA, wakimsikiliza Naibu Waziri wa
Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (hayupo pichani),
alipowasili katika tume hiyo, jijini Dar es Salaam.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya TEHAMA, Mhandisi Samson Mwela
akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi
Atashasta Nditiye (wa pili kushoto), wakati wa ziara hiyo.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya TEHAMA, Mhandisi Samson Mwela
akatoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi
Atashasta Nditiye (kulia), katika wa ziara hiyo.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa kazini wakati wa ziara hiyo.
Mkurugenzi
wa Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi
Clarence Ichwekeleza, akimkaribisha Naibu Waziri, Mhandisi Atashasta
Nditiye (katikati), kuzungumza na wafanyakazi wa Tume ya Taifa ya
TEHAMA.
Naibu Waziri, Mhandisi Atashasta Nditiye (katikati), akizungumza na wafanyakazi wa Tume ya Taifa ya TEHAMA katika ziara hiyo.
Kaimu
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi
na Mawasiliano, Prisca Ulomi, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari,
wakati ziara ya Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi
Atashasta Nditiye (hayupo pichani) katika ziara yake ya kutembelea Tume
ya Taifa ya TEHAMA, jijini Dar es Salaam.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya TEHAMA, Mhandisi Samson Mwela
akitoa maelezo kwa kwa waandishi wa habari (hawapo pichani). Kulia
niNaibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye.
Kaimu
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi
na Mawasiliano, Prisca Ulomi, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari,
wakati ziara ya Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi
Atashasta Nditiye (hayupo pichani) katika ziara yake ya kutembelea Tume
ya Taifa ya TEHAMA, jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Tumeya Taifa ya TEHAMA, wakimsikiliza Naibu Waziri wa
Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (hayupo pichani),
alipowasili katika tume hiyo, jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mtendaji wa Baraza la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA-CCC),
Mary Shao Msuya, akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (hayupo pichani), wakati wa
ziara hiyo.
Naibu
Waziri, Mhandisi Atashasta Nditiye (kushoto), akizungumza na
wafanyakazi wa Baraza la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA-CCC),
katika ziara hiyo.
Naibu
Waziri, Mhandisi Atashasta Nditiye (kushoto), akifafanua jambo, wakati
akizungumza na wafanyakazi wa Baraza la Watumiaji wa Huduma za
Mawasiliano (TCRA-CCC), katika ziara hiyo.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya TEHAMA, Mhandisi Samson Mwela
akiwasilisha majukumu na Taarifa ya Utekelezaji ya tume hiyo kwa Naibu
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (hayupo
pichani), alipotembelea tume hiyo, jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye
(katikati), akiwa pamoja na wafanyakazi wakimsikiliza Kaimu Mkurugenzi
Mkuu wa Tume ya Taifa ya TEHAMA, Mhandisi Samson Mwela (hayupo pichani),
wakati akiwasilisha majukumu na Taarifa ya Utekelezaji ya tume hiyo,
jijini Dar es Salaam.