Baadhi ya Wafanyakazi wa SSRA wakiwa
kwenye meza ya SSRA wakati hafla ya utoaji Tuzo za Mwajiri Bora wa
Mwaka 2017 zilizotolewa na Chama cha Waajiri Nchini (ATE) Jijini Dar es
Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na
Uhamasishaji wa SSRA Bi. Sarah Kibonde Msika akiwa kwenye Meza ya SSRA
wakati wa hafla ya utoaji Tuzo za Mwajiri Bora wa Mwaka 2017
zilizotolewa na Chama cha Waajiri Nchini (ATE) Jijini Dar es Salaam.
Watumishi wa SSRA wakiwa kwenye picha ya
pamoja mara baada ya kuibuka mshindi wa jumla kwa Taasisi za Umma katika
hafla ya utoaji Tuzo za Mwajiri Bora wa Mwaka 2017 zilizotolewa na
Chama cha Waajiri Nchini (ATE) Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera,Bunge,Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu Mh Jenista Mhagama akikabidhi
kwa SSRA Tuzo ya Mwajiri Bora kwa Mwaka 2017. Anayepokea ni Mkurugenzi
wa SSRA Bi Lightness Mauki.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera,Bunge,Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu Bw. Eric Shitindi akikabidhi
kikombe kwa SSRA baada ya kuibuka mwajiri bora wakati wa hafla ya utoaji
wa tuzo za Mwajiri bora wa Mwaka 2017 zilizotolewa hivi karibuni na
Chama cha Waajiri Nchini (ATE) jijini Dar es Salaam. Anayepokea ni
Mkurugenzi wa SSRA Bi. Lightness Mauki