Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Sekta kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Dkt. Andrew
Komba ambaye pia ni mgeni rasmi katika uzinduzi wa Jarida lenye
Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo
vya afya,akizungumza mapema leo mjini Dodoma mbele ya Wadau mbalimbali
wa mambo ya Afya,ikiwa ni sehemu ya kuelekea kilele cha uzinduzi wa
kampeni ya Unawaji Mikono kwa vituo vya Afya itakayojulikana kwa jina la
NIPO TAYARI awamu ya pili,Ambapo katika uzinduzi wa kampeni hiyo
itakayozinduliwa rasmi Desemba 7,2017 mkoani Dodoma,Mgeni rasmi
anatarajiwa kuwa Makamu wa Rais Mama samia Suluh Hassan
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Sekta kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Dkt. Andrew
Komba ambaye pia ni mgeni rasmi akikata utepe kuzindua Jarida lenye
Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo
vya afya,mapema leo mjini Dodoma,uzinduzi wa jarida hilo ni sehemu ya
kuelekea kilele cha uzinduzi wa kampeni ya Unawaji Mikono kwa vituo vya
Afya itakayojulikana kwa jina la NIPO TAYARI awamu ya pili,Ambapo katika
uzinduzi wa kampeni hiyo itakayozinduliwa rasmi Desemba 7,2017 mkoani
Dodoma,Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Makamu wa Rais Mama samia Suluh
Hassan
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Sekta kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Dkt. Andrew
Komba akiwaonesha Wanahabari jarida lenye Mwongozo wa Taifa wa Huduma
za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya,mapema leo mjini
Dodoma
Mratibu
wa Kampeni ya Usafi wa mazingira-wizara ya afya maendeleo ya jamii
jinsia wazee na watoto Dkt Anyitike Mwakitalima akizungumza jambo mbele
ya Wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye mkutano huo,mapema leo
mjini Dodoma,kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi wakati wa uzinduzi wa
jarida lenye Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Sekta kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Dkt. Andrew
Komba akimkabidhi Mganga Mkuu wa Mkoa Njombe,Dkt Buru Mwamasage jarida
lenye Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika
vituo vya afya,mapema leo mjini Dodoma
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Sekta kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Dkt. Andrew
Komba akimkabidhi Afisa Afya mkoa wa Dodoma,Edward Ganja jarida lenye
Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo
vya afya,mapema leo mjini Dodoma
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Sekta kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Dkt. Andrew
Komba akimkabidhi Mkurugenzi wa Mipango kutoka shirika la WaterAid
-Tanzania Bwa.Abel Dugange jarida lenye Mwongozo wa Taifa wa Huduma za
Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya,mapema leo mjini Dodoma
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Sekta kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Dkt. Andrew
Komba akipewa maelezo mafupi kuhusiana na matumizi ya dawa mbalimbali
zinazotumika katika usafi wa maeneo mbalimbali ikiwemo ya kunawia mikono
na kusafishia vyoo,zilizotengenezwa na wajasiliamali waliokuwepo
ukumbini humo wakati wa uzinduzi wa jarida lenye Mwongozo wa Taifa wa
Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya,mapema leo
mjini Dodoma
Mratibu wa Kampeni ya Usafi wa mazingira-wizara ya afya maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto Dkt Anyitike Mwakitalima akipewa
maelezo mafupi kuhusiana na matumizi ya dawa mbalimbali zinazotumika
katika usafi wa maeneo mbalimbali ikiwemo ya kunawia mikono na
kusafishia vyoo,zilizotengenezwa na wajasiliamali waliokuwepo ukumbini
humo wakati wa uzinduzi wa jarida lenye Mwongozo wa Taifa wa Huduma za
Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya,mapema leo mjini
Dodoma.
Wageni waalikwa mbalimbali wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri wakati wa uzinduzi wa jarida lenye Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya afya,mapema leo mjini Dodoma
Baadhi ya wadau wakiangalia vipeperushi mbalimbali nyenye taarifa za mambo ya Afya na usafi kwa jamii.
Baadhi
ya Wawakilishi kutoka shirika la UNICEF wakifuatilia kwa makini
yaliyokuwa yakijiri kwenye uzinduzi huo ambao pia uliwajumuisha wadau
mbalimbali wa mambo ya Afya