MAKAMU
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM
Mkoa wa Mjini Talib Ali Talib, alipowasili katika viwanja vya Afiisi ya
CCM Mkoa wa Mjini Amani wakati wa mapokezi yake
MAKAMU
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akifungwa kiskafu na Vijana wa
Chipukizi wa Mkoa wakati wa mapokezi yake alipowasili katika Viwanja vya
Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amaan

la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiangalia ngoma ya kibati wakati wa
mapokezi yake yalioandaliwa katika viwanja Afisi Kuu ya CCM Mkoa wa
Mjini Amani, baada ya kuwasili Zanzibar wiki iliopita akitokea Dodoma
katika Mkutano Mkuu wa CCM na kuchaguliwa tena kushika nafasi ya Makamu
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar kwa kura nyingi.
WANACHAMA
wa CCM wa Mikoa ya Zanzibar wakimpokea Makamu Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa
Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani wakati wa mapokezi yake.
MAKAMU
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa CCM meza kuu
wakisimama baada ya kuwasili katika ukumbi wa mkutano Afisi ya CCM Mkoa
wa Mjini Amani Zanzibar.

BAADHI
ya Wanachama wa CCM wa Mikoa ya Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa
Mkutano Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wakati wa hafla ya
mapokezi yake Zanzibar.

KATIBU
wa CCM Mkoa wa Mjini Unguja Mohammed Omar Nyawenga akitowa Salamu kwa
Niaba ya Makatibu wa CCM wa Zanzibar wakati wa hafla ya mapokezi ya
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, Afisi ya Mkoa
wa Mjini Amaan Unguja
MWENYEKITI
wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Abdalla Kichupa akitowa salamu
kwa niaba ya Wenyeviti wa CCM Mikoa ya Zanzibar wakati wa hafla ya
mapokezi ya Makamu Mwenyekiti yaliofanyika katika ukumbi wa CCM Amaan
Zanzibar.
KATIBU
wa Chama cha TADEA Mhe Juma Ali Khatib akiwasalimia Wanachama wa CCM
wakati wa mkutano huo wa hafla ya mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar katika ukumbi wa mkutano Afisi ya CCM Amaan Zanzibar.
Wanachama
wa CCM wa Mikoa ya Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Afisi ya
CCM Mkoa wa Mjini Amani wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wakati wa hafla ya mapokezi yake
Zanzibar.
MAKAMU
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wanachama wa CCM katika
hafla ya mapokezi yake yaliofanyika katika Afisi Kuu ya CCM MKoa wa
Mjini Amaan Zanzibar. baada ya kuwasili akitokea Dodoma wiki iliopita
baada ya kuchaguliwa kwa mara ya Pili kushika nafasi ya Makamu
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar kwa kura nyingi katika mkutano Mkuu wa Tisa
wa CCM uliofanyika Dodoma.

la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwasalimia Wanachama wa CCM baada
ya kumalizika kwa hafla hiyo ya mapokezi yake katika viwanja vya Afisi
CCM Mkoa wa Mjini Unguja Amaan. Picha na IKULU