Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini, Jenerali Venance
Mabeyo baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Makao Makuu ya Jeshi la
Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Upanga jijini Dar es salaam
Desemba 14, 2017, kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika kuaga
miili ya askari 14 wa JWTZ waliouawa wakiwa katika operesheni ya ulinzi
wa amani chini ya Umoja wa Mataifa nchini Congo – DRC
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na baadhi ya wafiwa baada ya kuwasili kwenye viwanja vya
Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Upanga
jijini Dar es salaam Desemba 14, 2017, kumwakilisha Rais John Pombe
Magufuli katika kuaga miili ya askari 14 wa JWTZ waliouawa wakiwa katika
operesheni ya ulinzi wa amani chini ya Umoja wa Mataifa nchini Congo –
DRC.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete
baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Upanga jijini Dar es salaam Desemba 14,
2017, kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika kuaga miili ya askari
14 wa JWTZ waliouawa wakiwa katika operesheni ya ulinzi wa amani chini
ya Umoja wa Mataifa nchini Congo – DRC.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitoa heshima za mwisho kwa askari 14 wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania
(JWTZ) waliouawa wakiwa katika operesheni ya ulinzi wa amani chini ya
Umoja wa Mataifa nchini Congo – DRC, kwenye viwanja vya Makao Makuu ya
JWTZ, Upanga jijini Dar es salaam akimwakilisha Rais John Pombe
Magufuli, Desemba 14, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitia saini kitabu cha maombolezo baada ya kuwasili kwenye viwanja
vya Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ),
Upanga jijini Dar es salaam Desemba 14, 2017, kumwakilisha Rais John
Pombe Magufuli katika kuaga miili ya askari 14 wa JWTZ waliouawa wakiwa
katika operesheni ya ulinzi wa amani chini ya Umoja wa Mataifa nchini
Congo – DRC.
Waziri Mkuu,. Kassim Majaliwa
akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein
Mwinyi baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Makao Makuu ya Jeshi la
Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Upanga jijini Dar es salaam
Desemba 14, 2017, kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika kuaga
miili ya askari 14 wa JWTZ waliouawa wakiwa katika operesheni ya ulinzi
wa amani chini ya Umoja wa Mataifa nchini Congo – DRC.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya
Mashariki, Dkt. Susan Kolimba baada ya kuwasili kwenye viwanja vya
Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Upanga
jijini Dar es salaam Desemba 14, 2017, kumwakilisha Rais John Pombe
Magufuli katika kuaga miili ya askari 14 wa JWTZ waliouawa wakiwa katika
operesheni ya ulinzi wa amani chini ya Umoja wa Mataifa nchini Congo –
DRC. Katikati ni Rais Mstaafu wa Awamu wa Nne, Jakaya Mrisho Kikwete na
kushoto Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika –
SADC.
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
akizungumza kwenye viwanja vya Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Upanga jijini Dar es salaam Desemba 14,
2017 alikomwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika kuaga miili ya
askari 14 wa JWTZ waliouawa wakiwa katika operesheni ya ulinzi wa amani
chini ya Umoja wa Mataifa nchini Congo – DRC.
Askari wa Jeshi la Wananchi wa
Tanzania (JWTZ) wakiwa wamebeba miili ya askari 14 wa JWTZ waliouwa
wakiwa kwenye operesheni ya ulinzi wa amani chini ya Umoja wa Mataifa
nchini Congo – DRC,`kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JWTZ Upanga
jijini Dar es salaam Desemba 14, 2017. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
alimwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika kuaga miili ya askari hao.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu