Picha mbalimbali za mazoezi ya Kilimanjaro Stars ya Tanzania Bara wakati
 wa mazoezi kujiandaa na mechi mbalimbali za kuwania Kombe la Chalenji 
kwenye Uwanja wa mazoezi wa Machakos, Kenya. Mazoezi hayo yalifanyika 
leo Jumatatu Desemba 4, 2017 asubuhi. (Picha na Cliford Ndimbo wa TFF).
 
