Mtoa huduma ya mauzo wa duka la Tigo Dodoma mtaa wa CDA, Alli Mshana akimhudumia mteja aliyefika kupata huduma dukani mapema mwishoni wa wiki hii. |
Wateja waliofurika Duka la Tigo mtaa wa CDA Dodoma wakipata huduma za Tigo Pesa kwa kununua tiketi za Tamasha la Tigo Fiesta Dodoma. |
Wasanii Mimi Mars na Country Boy wakimkabidhi mteja wa Tigo, Kiyoya Shem tiketi ya kushuhudia tamasha la Tigo Fiesta Dodoma mapema mwishoni wa wiki iliyopita.
|
Wasanii Genevieve na Nedy Music wakiwa na mteja wa Tigo, Bruno Mpangala mara baada ya kujishindia tiketi ya kwenda kushuhudia tamasha la Tigo Fiesta litakalofanyika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
|
Wateja waliofurika kupata huduma za Tigo Pesa kwa kununua tiketi za kushuhudia tamasha la Tigo Fiesta Dodoma |
EmoticonEmoticon