Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi zawadi ya televisheni ya LED kwa Salum Yahawa ambaye alikuwa mojawapo wa washindi wa zawadi za pikipiki na televisheni za LED katika promosheni iliyokwisha ya 'Tigo Nunua Simu na Ushinde'. Jumla ya pikipiki 20 na TV 20 zilitolewa katika promosheni hiyo. |
Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi zawadi ya pikipiki kwa Yakobo Lucas ambaye alikuwa mojawapo wa washindi wa zawadi za pikipiki na televisheni za LED katika promosheni iliyokwisha ya 'Tigo Nunua Simu na Ushinde'. Jumla ya pikipiki 20 na TV 20 zilitolewa katika promosheni hiyo. |
EmoticonEmoticon