Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akiweka sahini
katika kitabu cha wageni cha Wizara hiyo mara maaba ya kuripoti.
|
Kushoto Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga
Mpina, akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara Mpya ya Mifugo na Uvuvi upande wa
mifugo Dkt. Maria Mashingo kulia, wakati wa mazungumzo mafupi mara baada ya
kuripoti katika Wizara hiyo.
Katika picha sehemu ya baadhi ya watumishi wa Wizara ya
Mifugo na Uvuvi wakifurahia jambo mara baada ya kuwapokea Mawaziri waliopewa
dhamana ya wizara hiyo mpya, hawapo katika picha.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akiongea na
baadhi ya watumishi wa Wizara hiyo hawapo katika picha, katika Ofisi a Dar es
Salaam mara baada ya kuripoti, katikati ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe.
Abdalah Ulega kulia ni Dkt. Yohana
Budeba katibu Mkuu wa Wizara hiyo upande wa Uvuvi.
EmoticonEmoticon