Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Bi. Angela Kairuki kuwa Waziri wa Madini Ikulu jijini Dar es salaam leo
Oktoba 9, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Dkt. Hamisi Kigwangwalla kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Ikulu
jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Mhe. Suleiman Saidi Jafo kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
(Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa) Ikulu jijini Dar es salaam leo
Oktoba 9, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Mhe. Kangi Lugola kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano
na Mazingira) Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Dkt Mary Machuche Mwanjelwa kuwa Naibu Waziri wa Kilimo Ikulu jijini
Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Mhe. Stella Alex Ikupa kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri
Mkuu (Watu wenye ulemavu) Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Mhe. Juliana Shonza kuwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na
Michezo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Mhe. Stephen Kagaigai kuwa Katibu wa Bunge Ikulu jijini Dar
es salaam leo Oktoba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli,
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima
Majaliwa, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
Ikulu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju na Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya kumbukumbu na Mawaziri na
Naibu Mawaziri baada ya hafla ya kuapishwa jijini Dar es salaam leo
Oktoba 9, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na aliyekuwa Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilila huku Jaji
Mkuu Profesa Ibrahim Juma na Katibu wa Bunge Mpya Mhe. Stephen Magaigai
wakianfalia Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha
kikao cha Baraza la Mawaziri mara tu baada ya kuwaapisha Mawaziri na
Naibu Mawaziri wapya Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na
Mazingira) Mhe. January Makamba baada ya Mawaziri na Naibu Mawaziri
wapya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi) Mhe. George Mkuchika huku
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima
Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya
hafla ya kuapishwa Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es
salaam leo Oktoba 9, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)
Mhe.Kangi Lugola huku Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri
Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi
wakiangalia baada ya hafla ya kuapishwa Mawaziri na Naibu Mawaziri
Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Naibu Waziri wizara ya Nishati Mhe. Subira Hamisi Mgalu huku Makamu wa
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya
kuapishwa Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo
Oktoba 9, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Naibu Waziri wa Kilimo Dklt. Mary Mwanjelwa huku Makamu wa Rais Mhe.
Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya kuapishwa
Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9,
2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega huku Makamu wa Rais
Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya
kuapishwa Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo
Oktoba 9, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso huku Makamu
wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima Majaliwa na
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya hafla ya
kuapishwa Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo
Oktoba 9, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye ulemavu) Mhe. Stella
Alex Ikupa huku Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu
Mhe. Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi
wakiangalia baada ya hafla ya kuapishwa Mawaziri na Naibu Mawaziri
Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 9, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Mhe. Juliana
Shonza huku Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe.
Kassima Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia
baada ya hafla ya kuapishwa Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar
es salaam leo Oktoba 9, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Anthony Mavunde huku
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassima
Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiangalia baada ya
hafla ya kuapishwa Mawaziri na Naibu Mawaziri Ikulu jijini Dar es
salaam leo Oktoba 9, 2017. Picha na IKULU
EmoticonEmoticon