Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina akitia saini
katika kitabu cha wageni kwenye Ofisi za Baraza la Taifa la Hifadhi na
Usimamizi wa Mazingira NEMC alipoenda
kuagana nao na kutoa neno baada ya kufanya nao kazi kama Naibu Waziri Ofisi ya
Makamu wa Rais Muungano na Mazingira kabla ya kuteuliwa kuwa Waziri wa Wizara
Mpya ya Mifugo na Uvuvi.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina akizungumza wakati wa
kuagana na watumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira
NEMC, kulia ni mkaguzi wa Mazingira kanda ya Mashariki Bw. Jafari Chimgege na
kushoto ni Dkt. Ruth Rugisha Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Utekelezaji wa
Baraza.
Katika Picha Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina na
Baadhi ya viongozi katika Management ya
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC.
Picha ya Pamoja Waziri Mpina na Baadhi watumishi wa Baraza
la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC.
EmoticonEmoticon