Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwakilishi wa UNFPA nchini, Jacqueline Mahon mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_3003" align="aligncenter" width="1404"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwakilishi wa UNICEF nchini, Maniza Zaman mara baada ya kuwasili katika maadhimisho ya miaka 72 ya Umoja wa Mataifa yaliyofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.[/caption] sss [caption id="attachment_3004" align="aligncenter" width="1404"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan akipokea heshima katika maadhimisho ya miaka 72 ya Umoja wa Mataifa yaliyofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_3005" align="aligncenter" width="1404"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride la heshima katika maadhimisho ya miaka 72 ya Umoja wa Mataifa yaliyofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_3006" align="aligncenter" width="1404"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan, Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje, Kikanda na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk. Augustine Mahiga pamoja na 10) Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez wakishuhudia bendera ya Umoja wa Mataifa ikipandishwa kuashiria kilele cha maadhimisho ya miaka 72 ya Umoja huo.[/caption] [caption id="attachment_3007" align="aligncenter" width="1404"] Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje, Kikanda na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk. Augustine Mahiga akiazungumza machache kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) kuzungumza kwenye maadhimisho ya miaka 72 ya Umoja wa Mataifa yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_3008" align="aligncenter" width="1404"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan akihutubia hadhara ya wageni mbalimbali (hawapo pichani) na kusisitiza umuhimu wa teknolojia katika kufikia uchumi wa viwanda wakati wa maadhimisho ya miaka 72 ya Umoja wa Mataifa yaliyofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_3009" align="aligncenter" width="1404"] Picha juu na chini ni Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez akitoa salamu za Umoja wa Mataifa kwenye maadhimisho ya miaka 72 ya Umoja wa huo yaliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam[/caption] [caption id="attachment_3011" align="aligncenter" width="1404"] Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez akimkabidhi tuzo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan ya heshima kwa kutambua ushirikiano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa wakati wa maadhimisho ya miaka 72 ya Umoja huo.[/caption] [caption id="attachment_3012" align="aligncenter" width="1404"] Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez akimkabidhi tuzo ya heshima Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje, Kikanda na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk. Augustine Mahiga wakati wa maadhimisho ya miaka 72 ya Umoja huo.[/caption] [caption id="attachment_3017" align="aligncenter" width="1404"] Pichani juu na chini ni baadhi ya wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa, viongozi wa Serikali pamoja na wadau wa maendeleo waliohudhuria sherehe za miaka 72 ya Umoja wa Mataifa.[/caption] [caption id="attachment_3023" align="aligncenter" width="1404"] Wanafunzi wa shule ya sekondari Weruweru wakitoa burudani kwa vitendo kwenye maadhimisho ya miaka 72 ya Umoja huo.[/caption] [caption id="attachment_3013" align="aligncenter" width="1404"] Mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan katika picha ya pamoja na wakuu wa mashirika yaliyochini ya Umoja wa Mataifa nchini wakati wa maadhimisho ya miaka 72 ya Umoja huo.[/caption] [caption id="attachment_3014" align="aligncenter" width="1404"] Mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan katika picha ya pamoja na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania[/caption] [caption id="attachment_3015" align="aligncenter" width="1404"] Mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan katika picha ya pamoja wanafunzi wa shule ya Sekondari Dodoma, Weruweru na Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_3024" align="aligncenter" width="1404"] Maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje katika picha ya pamoja.[/caption] [caption id="attachment_3016" align="aligncenter" width="1404"] Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez akiagana na baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria sherehe za miaka 72 ya Umoja wa Mataifa yaliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.[/caption]
NCHI ZILIZOENDELEA KITEKNOLOJIA ZISAIDIE KUBORESHA HARAKATI ZA UCHUMI WA VIWANDA-SAMIA

EmoticonEmoticon