Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa kwa furaha na Makamu wa Pili
wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi mara baada ya kuwasili katika
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume tayari wa ziara ya
siku tatu visiwani humo ambapo pamoja na mambo mengine atakuwa mgeni
rasmi kwenye sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na Siku ya
Mwalimu Nyerere..
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa
Magharibi Mhe. Ayoub Mohamed Mahmoud Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Abeid Amani Karume tayari kwa ziara ya siku tatu visiwani
humo ambapo pamoja na mambo mengine atakuwa mgeni rasmi kwenye sherehe
za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na Siku ya Mwalimu Nyerere.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama janet Magufulki
wakisalimiana na viongozi mbalimbali baada ya kuwasili katika uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume tayari kwa ziara ya siku tatu
visiwani humo ambapo pamoja na mambo mengine atakuwa mgeni rasmi kwenye
sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na Siku ya Mwalimu
Nyerere.

Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi mara baada ya
kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
tayari kwa ziara ya siku tatu visiwani humo ambapo pamoja na mambo
mengine atakuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za kilele cha mbio za Mwenge
wa Uhuru na Siku ya Mwalimu Nyerere.
EmoticonEmoticon