Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti Mtendaji wa
Kampuni ya Barrick Gold Corp.Profesa John L. Thornton alipokutana nae
wakati wa kupokea ripoti ya makubaliano baina ya Kamati ya Serikali na
timu ya wataalamu wa Barrick Gold kuhusu bishara ya madini Ikulu jijini
Dar es salaam leo Oktoba 19, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mwenyekiti Mtendaji wa
Kampuni ya Barrick Gold Corp. Profesa John L. Thornton akiwa na Afisa
Uendeshaji wa Barrick Gold Richardc William huku Waziri wa Sheria na
Katiba Profesa Palamagamba Kabudi na Florens Luoga nao pia wakiweka
saini ripoti ya makubaliano baina ya Kamati ya Serikali na timu ya
wataalamu wa Barrick Gold kuhusu bishara ya madini Ikulu jijini Dar es
salaam leo Oktoba 19, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Afisa Uendeshaji wa
Barrick Gold Richardc William na maafisa waandamizi wa kampuni hiyo
baada ya kupokea ripoti ya makubaliano baina ya Kamati ya Serikali na
timu ya wataalamu wa Barrick Gold kuhusu bishara ya madini Ikulu jijini
Dar es salaam leo Oktoba 19, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya
Barrick Gold Corp. Profesa John L. Thornton wakimsikiliza Waziri wa
Sheria na Katiba Profesa Palamagamba akitoa muhtasari wa ripoti ya
makubaliano baina ya Kamati ya Serikali na timu ya wataalamu wa Barrick
Gold kuhusu bishara ya madini Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 19,
2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiongea baada ya kupokea ripoti ya makubaliano baina ya
Kamati ya Serikali na timu ya wataalamu wa Barrick Gold kuhusu bishara
ya madini Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 19, 2017
PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon