MUONEKANO TOFAUTI KWA WAFANYAKAZI WA NMB,TAWI LA NELSON MANDELA MJINI MOSHI KATIKA KUADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

October 06, 2017
Wafanyakazi wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela mjini Moshi, wakiwa katika muonekano mpya ikiwa ni sehemu ya maadhimish ya wiki ya Huduma kwa Wateja inayoendelea sasa.
Meneja wa Benki ya NMB,tawi la Nelson Mandela ,Emmanuel Kishosha akiwa katika muonekano tofauti na wafanyakazi wenzake wa tawi la hilo.
Baadhi ya Watumishi wa NMB ,tawi la Nelson Mandela wakiweka pozi baada ya kuwa katika muonekano tofauti ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Wafanyakazi wa Kiume wa Benki ya NMB,tawi la Nelson Mandela mjini Moshi wakiwa katika muonekano nadhifu tayari kupokea Wateja katika wiki hii ya huduma kwa Wateja.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii ,Kanda ya Kaskazini.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »