Askofu
Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki
la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo akiaga mwili wa Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la
Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa
mara baada ya Misa iliyofanyika katika Kanisa la Baraza la Maaskofu Katoliki
(TEC) Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Askofu
Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki
Tabora Paul Ruzoka akiaga mwili
wa Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na
Masasi Castor Paul Msemwa mara baada ya Misa iliyofanyika katika Kanisa
la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru
na Masasi Castor Paul Msemwa likiwa limebebwa na Mapadri wakielekea
ndani ya Kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Askofu
Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki
Tabora Paul Ruzoka akizungumza katika Misa ya kumuombea Marehemu Askofu
Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi
Castor Paul Msemwa katika kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es
Salaam.
Waumini
wa kanisa Katoliki wakiwa katika Ibada ya kumuombea Marehemu katika Kanisa hilo
jijini dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Mawasiliano katika
Baraza la Maaskofu Tanzania Benard James akizungumza mara baada ya Misa hiyo. Picha na Mpiga Picha wetu.
EmoticonEmoticon