Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akihutubia wakati wa kufungua Maonyesho ya Tatu ya Kimataifa ya Utalii
yanayojulikana kwa jina la Swahili linalofanyika kwenye kituo cha
mikutano cha kimataifa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha
na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Waziri
wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamis Kigwangalla akihutubia wakati wa
Ufunguzi wa Maonyesho ya ya Tatu ya Kimataifa ya Utalii ya Swahili
uliofanyika kwenye kituo cha mikutano cha kimataifa cha Mwalimu Julius
Nyerere ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimkabidhi kinyago maalum Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANAPA
Jenerali Mstaafu George Waitara kama ishara ya shukrani kwa kuwa mmoja
wa wadhamini wa Maonyesho ya Tatu ya Utalii ya Kimataifa ya Utalii ya
Swahili.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Bw. Allan Kijazi mara baada ya
kupokea kinyago maalum ikiwa ni shukrani kwa kuwa mmoja wa wadhamini wa
Maonyesho ya Tatu ya Utalii ya Kimataifa ya Utalii ya Swahili.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akimkabidhi kinyago maalum Naibu Mhifadhi (Uhifadhi, Maendeleo ja
Jamii na Utalii) wa Hifadhi ya Ngorongoro Dkt. Maurus Msuha kama ishara
ya shukrani kwa kuwa mmoja wa wadhamini wa Maonyesho ya Tatu ya Utalii
ya Kimataifa ya Utalii ya Swahili. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Picha ya Pamoja
EmoticonEmoticon