Msanii wa bongo fleva Aslay akiimba kwenye jukwaa la tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Majimaji mjini Songea usiku wa kuamkia jumatatu. |
Ommy Dimpoz akiimba na mashabiki zake kutoka Songea mapema usiku wa jumapili katika Tamasha la Tigo Fiesta |
Msanii wa bongo fleva Darassa akitumbuiza kwenye jukwaa la tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa majimaji mjini Songea usku wa kuamkia jumatatu. |
Mimi Mars akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta mapema usiku wa jumapili. |
Nandy akitumbuiza katika jukwaa la TigoFiesta mapema jumapili mkoani Songea usiku wa kuamkia jumatatu. |
Vanesa Mdee akiburudisha maelfu ya wakazi wa Songea katika Tamasha la Tigo Fiesta mapema jumapili . |
Roma Mkatoliki akitumbuiza katika tamasha la Tigo Fiesta mapema usiku wa jumapili mkoani Songea. |
EmoticonEmoticon