Wasanii wa kundi la Rostam, Roma na Stamina wakiimba kwenye tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jumatatu lililofanyika uwanja wa Samora mjini Iringa |
Aslay akiimba na mashabiki kwenye tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jumatatu lililofanyika uwanja wa Samora mjini Iringa
|
Joh Makini akitumbuiza maelfu ya wakazi wa Mkoa wa Iringa |
Jux akiburudisha wakazi wa Mkoa wa Iringa |
MauaSama akitumbuiza katika jukwaa la TIgo Fiesta |
Nandy akiimba kwa hisia katika jukwaa la Tigo Fiesta mkoani Iringa mapema jumapili iliyopita. |
Ommy Dimpoz akitumbuiza wakazi wa Iringa. |
Vanessa Mdee akitoa burudani na madansa wake katika jukwaa la Tigo Fiesta viwanja vya Samora Mkoani Iringa. |
EmoticonEmoticon