Katibu Mkuu wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Amina Makilagi
akizungumza wakati wa Kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyi
Taifa, kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17,
2017. Kulia ni Katibu wa NEC Oganaizesheni Pereila Silima na katikati
ni Mwenyekiti wa muda wa kikao hicho Diana Chilolo
Mwenyekiti wa muda wa kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya
hiyi Taifa, Diana Chilolo, akizungumza wakati wa kikao hicho
kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17, 2017.
Kushoto ni Katibu wa NEC Oganaizesheni Pereila Silima na kulia ni Katibu
Mkuu wa UWT Amina Makilagi.
Wajumbe wakishangilia wakati wa kikao wa kikao cha kawaida cha Baraza
Kuu la Jumuiya ya wanawake Taizania (UWT) kilichofanyika Makao Makuu ya
CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17, 2017.
Maofisa wa UWT wakiandaa makabrasha kabla ya kuanza kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyi Taifa, kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17, 2017. |
Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mgeni Hassan Juma
akisalimia alipotambulishwa katika kikaocha kawaida cha Baraza Kuu la
Jumuiya ya wanawake Taizania (UWT) kilichofanyika Makao Makuu ya CCM
mjini Dodoma, leo Oktoba17, (Picha na Bashir Nkoromo).
EmoticonEmoticon