BANDA LA BENKI YA NMB KATIKA MAONESHO YA WIKI YA USALAMA LAWA KIVUTIO

October 21, 2017
Gari Maalumu la Benki ya NMB likitoa huduma za kibenki katika maonesho ya wiki ya Usalama yanayoendelea katika uwanja wa Mashujaa mjini Moshi.
Afisa Masoko wa Benki ya NMB tawi la Nelson mandela ,Moshi ,Martha Malisa akizungumza jambo na mteja aliyefika kutembelea Banda la NMB katika maonesho ya wiki ya Usalama yanayofanyika katika uwanja wa Mashujaa mjini Moshi.
Afisa Masoko wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela ,Theodosia Manyama akichukua Tasiwra ya mmoa wa wateja aliofika katika Banda la NMB kwa ajili ya kufungua akaunti,aliyeshika kitambaa ni Afisa Masoko wa Benki hiyo Martha Malisa.
Meneja Huduma kwa wateja tawi la Nelson Mandela Moshi ,Moses Koda akishuka kutoka kwenye gari maalumu ambalo linatoa huduma za kibenki katika maonesho ya wiki ya usalama yanayofanyika katika uwanja wa Mashujaa mjini Moshi. 
Wakala wa Benki ya NMB akimuelekeza jambo mteja wa Benki ya NMB aliyefika kwa ajili ya kufungua akaunti .
Wakala wa Benki ya NMB akipokea pesa kutoka kwa mteja mara baada ya kufungua akaunti papo hapo na kupatiwa ATM kadi katika Banda la NMB wakati wa maonesho ya wiki ya Usalama katika uwanja wa Mashujaa.
Meneja wa Benki ya NMB ,tawi la Nelson Mandela ,Moshi,Emanuel Kishosha (mwenye tai nyekundu) akiwa katika uwanja wa Mashujaa na wadau wengine kufuatilia maonesho hayo yanayofanyika kitaifa mjini Moshi.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Moshi.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »