Mratibu wa Mradi wa kuhamasisha Uwajibikaji wa Jamii na Mamlaka zinazohusika katika kuboresha huduma za elimu katika Jamii ambao unatekelezwa na Asasi ya Tree of Hope chini ya Ufadhili wa Shirika la Foundation for Civili Society,Goodluck Malilo akisisitiza jambo kwenye mdahalo wa wadau wa Elimu Kijiji cha Michungwani na Kwedizinga wilayani Handeni Mkoani Tanga

Mwanasheria na Wakili Richard Vicent akisisitiza jambo kwenye mdahalo huo uliohusidha viongozi mbalimbali na walimu Kijiji cha Michungwani na Kwedizinga wilayani Handeni mkoani Tanga
Afisa Mradi huo,Abdul Kihange akisisitiza jambo wakati wa mdahalo huo
Diwani wa Kata ya Segera (CCM) wilayani Handeni,Yassin Tamimu akizungumza katika mdahalo huo
Afisa Mradi huo,Abdul Kihange akigawa makabrasha kwa washiriki wa mdahalokuhamasisha Uwajibikaji wa Jamii na Mamlaka
zinazohusika katika kuboresha huduma za elimu katika Jamii ambao
unatekelezwa na Asasi ya Tree of Hope chini ya Ufadhili wa Shirika la
Foundation for Civili Society,Goodluck Malilo akisisitiza jambo kwenye
mdahalo wa wadau wa Elimu Kijiji cha Michungwani na Kwedizinga wilayani
Handeni Mkoani Tanga
Sehemu ya washiriki katika mdahalo huo wakiufuatilia
Sehemu ya washiriki katika mdahalo huo wakiufuatilia
Sehemu ya washiriki katika mdahalo huo wakiufuatilia
Baadhi ya washiriki wakipiga picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa mdahalo huo
EmoticonEmoticon